Jini Kabula Amtaka Mzazi Mwenzie Chuz Aoe, Umri Umeenda Anazidi Kuzeeka.... - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Jan 2015

Jini Kabula Amtaka Mzazi Mwenzie Chuz Aoe, Umri Umeenda Anazidi Kuzeeka....

Mwigizaji  wa filamu z kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemtaka mzazi mwenziye, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ aoe ili kulinda heshima yake.



Akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya mwanahabari wa GPL, Kabula alisema anajivunia kuzaa na Chuz lakini kwa kuwa yeye hakupanga kuolewa na prodyuza huyo mkongwe, ni bora aoe kwani umri unamtupa mkono.


  • Chuz aoe tu sasa umri umeenda. Tena akioa  mimi nitacheza muziki balaa siku hiyo, si unajua mambo yangu. Mbaya zaidi sina kabisa wivu naye,” alisema Jini Kabula.