Ndoa ya Wolper Yabuma......Wazazi wa Manaiki Sanga Wamkataa..Kisa Hichi Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Jan 2015

Ndoa ya Wolper Yabuma......Wazazi wa Manaiki Sanga Wamkataa..Kisa Hichi Hapa

Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper.

Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao