Shindano la Nani Mkali: Jokate Amfunika Lulu Michael - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2015

Shindano la Nani Mkali: Jokate Amfunika Lulu Michael

Mwanamitindo  na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini.

Tuliweka Picha zao Hapa hapa walizopiga 2015 na kuuliza Nani Mkali

Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo Lulu alionekana kupigiwa kura na mtu mmoja