Washabiki Msipende Kudandia Treni kwa Mbele Mtagongwa - >>Shilole - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Jan 2015

Washabiki Msipende Kudandia Treni kwa Mbele Mtagongwa - >>Shilole

Kwenye Kipindi cha TV cha Friday Night Live Jana usiku katika Kituo cha EATV Shilole Amewafungukia mashabiki wake kuwa Wasipende kudandia Treni kwa mbele watagongwa ,kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia juu ishu ya kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotokea kati yake yeye na mwenzake. Lol!!!!!