Hiki ni kipande cha video ya wimbo wake Linex akimshirikisaha Diamondm Plutnumz chek kisha tabiri video itakuwa vipi?? - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Feb 2015

Hiki ni kipande cha video ya wimbo wake Linex akimshirikisaha Diamondm Plutnumz chek kisha tabiri video itakuwa vipi??

Video ya wimbo wake Linex ipo jikoni ikipikwa na hivi karibuni itaachiwa vipi wewe kama mwanaburudani na mwanablog hii unatarajia nini kutoka katika kichupa hicho??



VIDEO HII HAPA

Tupia maoni yako mdau..>>>