Post ya Zari Huko Instagram Yazua vijaambo, ni Baada ya Kumtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Wifi yake - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Feb 2015

Post ya Zari Huko Instagram Yazua vijaambo, ni Baada ya Kumtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Wifi yake

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua jambo kwa mashabiki.


Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno WIFI na siyo SHEMEJI ambalo huwa linatumika kwa mvulana!

Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man.