Sikiliza na Download Wimbo wa AY unaoitwa Zigo...Hupashwi Kukosa Wimbo Huu ni Mkali Kinoma - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Feb 2015

Sikiliza na Download Wimbo wa AY unaoitwa Zigo...Hupashwi Kukosa Wimbo Huu ni Mkali Kinoma

Mapinduzi ya Bongo Flava yamekuwa makubwa mpaka wakongwe nao wameamua kubadili staili za kuimba , huu wimbo umeimbwa na AY ..Kwa jinsi alivyobadilika unaweza usiamini kama ni yeye..
embu na wewe sikiliza alafu toa maoni yako hapo chini:

Unaweza sikiliza ama kuudownload hapa chini: