Diamond Platinumz Akaliwa Kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Mar 2015

Diamond Platinumz Akaliwa Kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7).
Inaelekea kuna jambo haliko sawa!