Breaking News:Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Muda Huu - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Apr 2015

Breaking News:Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Muda Huu

Kinachoendelea Muda huu nyumbani kwa Gwajima ni Polisi wenye silaha za moto wameizingira nyumba ya Gwajima ..Habari tulizozipata ni kuwa Jana Gwajima Alitakiwa aripoti Polisi na Kupeleka Hati za Mali alizo agizwa lakini hakufanya hivyo ..Hivyo muda huu Polisi wako kwake kwa ajili ya kumkamata lakini Mpaka sasa Gwajima amejifungia Ndani na Polisi Wameshindwa kuingia Ndani Kwa ajili ya Kumkamata.....

Tutaendelea kuwapa Kinachojiri...