Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Apr 2015

Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

All the best kama sio kick.