Kupitia taarifa ya habari ya ITV mbowe anasema hatutakubali kikwete aongezewe muda eti kwa sababu daftari la wapiga kura bado.akasisitiza lazima nchi itawaka moto.. Je una maoni Gani Kuhusu Kauli hiyo ya Mbowe? Read more