Msanii wa kibongo anayeongoza sasa kwa kupendwa na Mademu Kibao... - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Apr 2015

Msanii wa kibongo anayeongoza sasa kwa kupendwa na Mademu Kibao...

 

 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu. Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.