Aliyekuwa Mke wa Mbunge Sugu Aiponda Show ya Zari All White Party, Adai ilipooza Bila ya Wema Sepetu - MULO ENTERTAINER

Latest

5 May 2015

Aliyekuwa Mke wa Mbunge Sugu Aiponda Show ya Zari All White Party, Adai ilipooza Bila ya Wema Sepetu

Nimekutana na hii Mahali Aliyekuwa Mke wa Sugu Ameandika Jinsi Alivyoona Show ya Zari
Jisomee Mwenyewe Hapo chini:

Faiza_Ally : ilikuwa Kawaida Sana..Sio Kivilee nacho taka kusema bila kuficha kuwa watu ambao nilikuwa karibu nao waliboreka! halafu tukajikuta tuna miss Madamu WEMA hata mimi niliona kwamba angekuwepo WEMA pale huenda ingekuwa tofauti WEMA anapendwa na Watanzania sana nilicho kiona Jana ni Kwamba mizuka maandalizi kawaida sana sikuona hiyo historia au nilicho kifurahia sana au labda nilikuwa nimepania au labda nilikuwa nafikiria kitu tofauti lkn cha msingi ni kwamba WEMA anapendwa bado akifanya chochote Watanzania watasapoti kwa Namna yoyote..Anyway kifupi nilicho enjoy ni nguo zangu na picha lkn the rest mhhhhhhhhhh"