Edward Lowassa Kesho Anatarajiwa Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais Katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema Jijini Dar es Salaam. - MULO ENTERTAINER

Latest

30 Jul 2015

Edward Lowassa Kesho Anatarajiwa Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais Katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa kesho anatarajiwa kuchukua fomu ya kuwania urais katika ofisi za Makao Makuu ya Chadema Jijini Dar es Salaam.