Haya ndio majibu ya Petit Man kwa Soudy Brown kuhusu tetesi ndoa yake na Esma kuvunjika - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Aug 2015

Haya ndio majibu ya Petit Man kwa Soudy Brown kuhusu tetesi ndoa yake na Esma kuvunjika

Kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kulikuwepo na uvumi kuwa ndoa ya dada wa Diamond, aitwaye Esma na Petit ipo kwenye ugomvi baina ya wawili hao.

Leo Soudy Brown kaamua kupiga Stori na Petit kutaka kujua ukweli wa taarifa hizo lakini mwenyewe hakuonesha utayari wa kuzungumzia undani wa ishu hiyo.

Ukibonyeza play hapa utamsikia Soudy na Petit Man ilivyokuwa kwenye U Heard.