Nape Afunguka: Wanao Hama CCM Sasa ni Sawa na OlL Chafu ya Gari.. - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Aug 2015

Nape Afunguka: Wanao Hama CCM Sasa ni Sawa na OlL Chafu ya Gari..

Katibu Mwenezi wa CCM Nape Amekaririwa Akisema kuwa CCM ina Wanachama Wengi sana, Hao wawili watatu mnaosikia wanahama chama kila siku ni sawa na Oili chafu ya Gari ....Hawana Tena Thamani.....