'Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu... Iam Number One... Sina muda wa kubishana na watoto...Nina muda wa kufanya kazi na kwa sasa jicho langu limeelekea kwa Wanyaturu wangu Singida na kwenye siasa yangu pamoja na kazi zangu za maana bila kusahau entertainment niliokuwa ninayo from 2006 ... Kumbe wakati mi nimelala nyie mnaandika Instagram... Ntapata dhambi kugombana na watoto wadogo-ambao nimewazidi sio pesa tu hadi dhambi pia nimewazidi.... Mstafute kick kupitia jina la Wema jamani... Jitume, amka, usibweteke, fanya kazi.... Umarioo mwisho Chalinze maana Dar wote tuna Hustle... Ama nene....' Wema Sepetu
11 Aug 2015
New