WEMA SEPETU Kufanyiwa Njama Akutwe na Madawa ya Kulevya..Apewa Onyo Kali.. - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Aug 2015

WEMA SEPETU Kufanyiwa Njama Akutwe na Madawa ya Kulevya..Apewa Onyo Kali..

Msanii wa filamu nchini na mwanasiasa chipukizi ametahadharishwa kuwa makini na marafiki wabaya wenye nia ya kuua ndoto zake za kuwa mwanasiasa na msanii anayetarajia kuiwakilisha Tanzania kimataifa.

Haya yameongelewa baada ya kuonekana Mara Kwa Mara kwenye kumbi za starehe na binti aliyejulikana Kwa jina moja la Badra. Marafiki wa karibu na Badra wamesema hali ya Badra ni mbaya Sana Kwa kile kinachojulikana anajihusisha na madawa ya kulevya na kulewa pombe za kienyeji. .
.
Mpaka sasa marafiki wa Badra wana wasiwasi kwamba Wema atakutwa na madawa hayo hali itapelekea kuua ndoto zake hivyo wanatarajia kufikisha madai hayo polisi Badra achunguzwe pia kumnusuru Wema kwenye njama hizo. .
.
Mmoja wa Rafiki yake Badra ambaye pia ni Rafiki wa Wema alisema " kipindi Diamond yuko na Peny Badra alikua akimtukana Wema live na kumdhalilisha hata Diamond aliporudi kwa Wema aliendelea kumtukana mitandaoni na Zari alipopata mimba Badra alianzisha kampeni kumsema Wema ni tasa hivyo siamini kama ana nia nzuri na Wema au ametumwa na wanaomchukia Wema " Alisema Rafiki huyo

Hata hivyo watu wa karibu na Wema wamepinga vikali kwamba Wema yuko makini Sana anajua anachokifanya ila wanasema baadhi ya ndugu wa Badra ambapo imebainika anahusiana na msanii Diamond, wako kwenye vikao vya siri kuhakikisha Wema na Diamond wanarudiana.

Mpaka kumaliza habari hii tunaomba @wemasepetu Kwa usalama wako achana na Badra pia kama kuna watu wana mpango urudiane na Diamond ni maisha yako lkn Mpaka sasa Diamond ni baba na anampenda mama mtoto wake. Ikuingie akilin...so mfukuzie mbali Badrah kabisa
Read more at http://websta.me/n/mrekebishatabia#IEryXaiHkCPBYklf.99