Rais Magufuli Tena..Afuta Majina ya Maafisa wa Serekali 50 Waliokuwa Wasafiri Kwenda Mkutano wa Jumuiya ya Madola.. - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Nov 2015

Rais Magufuli Tena..Afuta Majina ya Maafisa wa Serekali 50 Waliokuwa Wasafiri Kwenda Mkutano wa Jumuiya ya Madola..

Rais John P. Magufuli amefuta majina ya maafisa wa Serikali 50 na kubakiza 4 tu waliotakiwa
kwenda kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola

Hatua yake hiyo imeokoa takribani milioni 700 ambazo zingetumika kwenye malipo ya posho na tiketi za ndege