Rufaa ya kutengua ubunge wa mh. Mwakyembe imetupiliwa mbali baada ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Kyela kushindwa kulipa tshs. MILIONI 3 tu, hiyo ndiyo habari kuu mjini Mbeya. Poleni sana mlioguswa na habari hii, hongera sana mh. Mwakyembe Read more