Rais John Magufuli Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Takururu Dr Edward Hosea..Sababu Hizi Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Dec 2015

Rais John Magufuli Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Takururu Dr Edward Hosea..Sababu Hizi Hapa

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Edward Hoseah kwa kutoridhishwa na utendaji wake. Nafasi yake itakaimiwa na Valentino Mlowola
Pia amewasimamisha kazi watumishi wanne wa TAKUKURU kwa kukiuka agizo lake la kutosafiri nje ya nchi, awataka watumishi wote wa Umma kutii agizo lake
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI