![]() |
| Watu mbalimbali waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016. |
![]() |
| Msanii Chemical ndiye aliyefungua pazia la burudani pande za Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016. |
Msanii Matonya akiwapa burudani mashabiki waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Madee akiwaburudisha wananchi waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.




