Mkali wa hit singo ya ‘Aiyola‘ kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize usiku waDec 31 aliidondosha burudani kwa wakazi wa Dodoma kwa mara ya kwanza tangu ametambulika na mashabiki katika soko la muziki.
Licha ya kufanya bonge la show, pia alitumia nafasi hiyo kutoa baadhi ya zawadi kwa wapenzi na mashabiki wake ambao walifika katika onyesho hilo.
Hapa nimekusogezea baadhi ya matukio katika picha namna hali ilivyokuwa.