New
Zuma yupo analihutubia Bunge, amechukua hatua za kukata matumizi ya serikali sawasawa kabisa na alivyofanya Magufuli , mfano safari za nje lazima zizipate kibali, sherehe za kibunge, kusafiri nje na delegation kubwa marufuku na mengine mengi.Ama kweli Magufuli ni mfano duniani!