Nauza Bikira Yangu Kuliko Niitoe Bure Kwa Mwanaume Alafu Baadae Nijute - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Mar 2016

Nauza Bikira Yangu Kuliko Niitoe Bure Kwa Mwanaume Alafu Baadae Nijute

Watu wamekuwa waongo sana , Utasikia ooohh mi ntakuoa ukinipa, siku akishapa tu anachokitaka anakula kona, mi bora tu niuze yangu, Bei poa kabisaa laki tano za kibongo..hayo ni maneno ya Msichana mmoja kutoka Kenya Alivyoandika kwenye Facebook page yake!! LAANA HII..!!
By Hellen Lwasway