Idris Sultan ambaye kwa sasa anatajwa kuwa ndio mshkaji anaye mmiliki Wema Sepetu ameumizwa na jinsi Wema alivyo kiss kwenye filamu ambayo mpaka sasa haijulikani itatoka lini na itaitwaje. Hii ilikuwa post ya Idris Snapchat. Read more