Diamond Platnumz alivyohojiwa na 106&Park ya BET (WATCH VIDEO) - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Jun 2016

Diamond Platnumz alivyohojiwa na 106&Park ya BET (WATCH VIDEO)



Diamond Platnumz yupo Los Angels California Marekani tayari kwa ajili ya tuzo za BET 2016, Diamond ambaye yupo nominated katika kipengele cha msanii bora wa kiume kutokea Afrika, alfajiri ya June 25 2016 amehojiwa na kipindi cha 106&Park kinachorushwa na BET.