AJALI: Basi la UDA Laigonga Treni Eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2016

AJALI: Basi la UDA Laigonga Treni Eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

Ajali mbaya sana imetokea jana Kariakoo Gerezani, watu sita wamepoteza maisha papo hapo akiwemo konda wa kampuni ya Uda dereva kakimbia baada ya basi hilo kugongana na Treni...Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha