MAGUFULI 'Ilifika Mahali Kuna Wafanyakazi Weekend zao Walikuwa Wakizifanyia Dubai na Kurudi Jumapili". - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Jul 2016

MAGUFULI 'Ilifika Mahali Kuna Wafanyakazi Weekend zao Walikuwa Wakizifanyia Dubai na Kurudi Jumapili".

Mh Rais amewafikishia salaam wale wote wenye tafsiri hasi juu ya hali ya uchumi inayojitokeza sasa ya kufungwa na kugeuzwa kwa mahoteli kuwa hosteli kama mtikisiko wa kiuchumi kwamba fikra na mitizamo yao si sahihi.

Mh. Magufuli amesema na hapa namnukuu, "Hii ni tafsiri kwamba wapangaji wa nyumba hizi walikuwa ni wafanyakazi serikalini".

Mh Rais ameongeza na kusema kwamba, "Ilifika mahali kuna wafanyakazi weekend zao walikuwa wakizifanyia Dubai na kurudi Jumapili".

Mh. Rais nimemnukuu akisisitiza kwamba, "Hapo nyuma nchi hii kuna watu walikuwa wao wanaenjoy huku wengine wakiwa watizamaji, hii hapana lazima tu-enjoy wote".