Maumivu Makali Ukeni Wakati wa Tendo la Ndoa..... - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2016

Maumivu Makali Ukeni Wakati wa Tendo la Ndoa.....

Habari zenu jamani,

Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenzi napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane tafadhali.