Tume ya Vyuo Vikuu(TCU) yatoa Ufafanuzi Kuhusu Alama za Kudahiliwa Vyuoni - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Jul 2016

Tume ya Vyuo Vikuu(TCU) yatoa Ufafanuzi Kuhusu Alama za Kudahiliwa Vyuoni

TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo.