Msamii Amjibu Baraka The Prince..Adai yeye ni Expensive Sana Level zake Kina Kajala na Wolper - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Oct 2016

Msamii Amjibu Baraka The Prince..Adai yeye ni Expensive Sana Level zake Kina Kajala na Wolper

Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani
anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema
Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala
kuwa mchumba wa Najma.

Ametoa kauli hiyo baada ya Barakah kumtukana Msami
baada ya kukoment katika akaunti ya Instagram ya Naj.
Akiongea na E-News ya EATV, Msami alisema, “Kwanza
Barakah ajue Naj sio mke wake, wala mchumba wake ni
boyfriend na girlfriend tu. 

Kwahiyo Barakah hana nguvu ya
mume wala mchumba kwa Naj. Kwahiyo hata mtu mwingine
anaweza kuleta fujo na kutupa kete yake. Halafu mie ni
expensive sana kwa Naj watu ambao naweza kurusha kete
yangu kwa watu ambao ni expensive ambao wapo kwenye
level yangu kama mimi. 

Naj yupo kwenye level ya Barakah
na mimi nipo kwenye level nyingine kabisa za juu. We
angalia watu wangu awe Uwoya au Kajala, kwahiyo mimi ni
expensive sana.”