![](https://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/11/Screen-Shot-2016-11-23-at-5.31.19-PM.png?zoom=1.5&resize=660%2C400)
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz alifanya mahojiano na XXL ya CloudsFM November 23 2016 chini ya Watangazaji B Dozen, Mami Baby na Kennedyna kuongea ishu nyingi kwa uzito ikiwemo kusaini mkataba na Universal, maneno kati yake na Ommy Dimpoz, bonyeza play hapa chini kusikiliza kila kitu