Maximilian Amzungumzia Aliyehusika Kufuta Video ya Furaha ya Young D YouTube - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Jan 2017

Maximilian Amzungumzia Aliyehusika Kufuta Video ya Furaha ya Young D YouTube


Aliyekuwa meneja na mlezi wa Young D
amefunguka mengi kwenye FNL ya EATV kumuhusu
Young Dee na ikiwemo aliyehusika kufuta video yake
#furaha

. "Unapofanya vitu kwa kushirikisha management vitu
vikiwa kiofisi haviwezi kuharibika vikiharibika ofisi
itachukua responsibility ya kuvirekebisha" alisema
@maximilianrioba "tuliachia video halafu badae haipo
YouTube lakini badae nikagundua kulikuwa na mtu
ambae alikosana nae akawa na access ya password and
then aka contact YouTube hii video sijui ina violate sheria
baada ya hapo ikatolewa, so tume struggle kuirudisha ikashindikana"


Kwa upande mwingine meneja huyo amedai video mpya
ya sasa ya Young Dee #youngdaddy haipo chini ya MDB
lakini imetengenezwa na kukamilika wakati akiwa MDB