Huu Hapa Ujumbe wa Valentine Day kwa Irene Uwoya na Dogo Janja Kutoka Kwa Mama Mzazi Dogo Janja " Mdumu Kwenye Ndoa Kama Mimi" - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Feb 2018

Huu Hapa Ujumbe wa Valentine Day kwa Irene Uwoya na Dogo Janja Kutoka Kwa Mama Mzazi Dogo Janja " Mdumu Kwenye Ndoa Kama Mimi"

Huu Hapa Ujumbe wa Valentine Day kwa  Irene Uwoya na Dogo Janja Kutoka Kwa Mama Mzazi Dogo Janja  " Mdumu Kwenye Ndoa Kama Mimi"


Mama wa Msanii wa Bongo Fleva, Abubakar Chande al-maarufu Dogo Janja ametoa ujumbe wa Valentine Day kwa mkwe wake Irene Uwoya ambaye amefunguka ndoa na mtoto wake huyo.

Akizungumza na Global Tv Mama Dogo Janja amewapa uhusia wa maisha ya ndoa kwa watoto wake hao na kuwataka kuelewana kutokana na maisha ya ndoa kuwa na vikwazo vya hapa na pale.

Pia amewaomba kudumu kwenye ndoa yao kama alivyo yeye na ndoa yake na kuomba uongozi wa Tip Top kumuongoza Dogo Janja ili kufikia malengo yake.