Mr Nice na Wolper Kunani? Je List Imeongezeka Ama la?.. - MULO ENTERTAINER

Latest

24 May 2018

Mr Nice na Wolper Kunani? Je List Imeongezeka Ama la?..

Shilawadu soudybrown kasema wolper na Mr nice mambo ni hivi....
Muigizaji wa filamu Tanzania jacklin wolper na Mwanamuziki aliyesumbua kitambo kwa style yake ya TAKEU Mr. Nice Wanaukaribu usio wa kawaida waonekana wakila bata pamoja. Je! List Ya wanaume aliotembea nao Wolper inaendelea kuongezeka?.

VIDEO: