New couple in town?
Hii ni kutoka Insta ya Nicki.
Alipoulizwa na fan kama wana date.
"You dating Eminem???....Nicki akajibu with a simple, "yes."
Kwenye album yake mpya iliyo njiani, Nicki pia kasema kuhusu Em..
"Told 'em I met Slim Shady, bag the Em.Once he go black, he'll be back again."