Upepo wakwamisha uokoaji wa binadamu waliopata ajalii kwenye ndege ya Air Asia. - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Dec 2014

Upepo wakwamisha uokoaji wa binadamu waliopata ajalii kwenye ndege ya Air Asia.

Ndege ya iliyopotea ya Air Asia
Waokoaji wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300 ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto kwenye bahari ya Adriatic. Maofisa nchini Italia wanasema kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea. Hadi sasa watu 190 wamekolewa kutoka kwa ferry hiyo.
Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imerejelewa tena baada ya kusitishwa usiku.
Ndege za kijeshi kutoka indonesia na singapore zilikuwa zikiisaka ndege hiyo kusini magharibi mwa pwani ya Borneo ambapo ndege hiyo ilitoweka.
Takriban abiria 162 walikuwa wakiabiri ndege hiyo aina ya Airbus 320 wengi wao wakiwa raia wa Indonesia.
By Longinus