Ukimya Wa Mke wa Magufuli Unatia Shaka....Kunani? - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Sept 2015

Ukimya Wa Mke wa Magufuli Unatia Shaka....Kunani?

Jamani Mke wa Magufuli mbona haonekani kwenye Campaign kama ilivyokua kwa Mama Salma, Mama Anna Mkapa na Mama Regina Lowassa. Kuna nini hapa katikati.