Bongo Movies>>Jackline Wolper: Aasema Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kuishi Utakavyo!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Jan 2015

Bongo Movies>>Jackline Wolper: Aasema Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kuishi Utakavyo!!!

Wolper:Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kuishi Utakavyo!!!

     
    Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper”  akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi,  aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;
    “ 2015 ni mwaka wakuishi utakavyo na huu 205678 ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu kama hizi bwana nazikubali sana maana unakuwa ni mtazamo ambao kila mtu kajiwekea”
    Hii kwako imekaa je? Na ww una kauli mbiu ipi???!!!