Habari za hivi punde>>Prof Muhongo Amejiuzulu Kufuatia Sakata la Escrow Mapema Leo - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Jan 2015

Habari za hivi punde>>Prof Muhongo Amejiuzulu Kufuatia Sakata la Escrow Mapema Leo



Tayari katangaza Kujiuzulu.

Aliyekua Waziri wa Nishati na madini Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake wa Uwaziri Katika mkutano wake wa waandishi wa habari alio uitisha hii leo.
Asisitiza yeye ni msafi, mwenye ushahidi wa uchafu wake awasilishe kwenye vyombo vya dola
Mapema leo hii Waziri Muhongo alikuwa ameitisha mkutano na Waandishi wa habari