Kambi za Kuzomea zomea za Diamond na Ali kiba zajipanga Kuzomea Leo Leaders - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Jan 2015

Kambi za Kuzomea zomea za Diamond na Ali kiba zajipanga Kuzomea Leo Leaders

Leo ndio siku iliyosubiriwa kwa hamu ya lile tamasha la Tigo lijulikanalo kama Tigo Kiboko yao Consert ambapo wasanii maarufu kibao wataburudisha akiwemo Diamond platnumz na Ali Kiba,
Sasa taarifa nilizozipata inasemekana makundi ya mashabiki wa Ali kiba na Diamond wamejipanga sawa sawa kwa ajili ya kuzomea pale Diamond na Ali Kiba watakapo panda jukwaani