Jacquiline Wolper aonesha nguo zake za ndani na kuandika katika kurasa zake mbalimbali kuwa ''HE LOVES MY STYLE'' - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Jan 2015

Jacquiline Wolper aonesha nguo zake za ndani na kuandika katika kurasa zake mbalimbali kuwa ''HE LOVES MY STYLE''

Kweli Mrembo na Mwigizaji Jack Wolper ni Stylish Kama Anavojiita kwenye ukurasa wake wa Instagram, Hivi Karibuni amepost picha akionyesha nguo ya ndani aina ya sidiria na Kuandika Maneno haya Hapa chini:

"People will stare .Make it Worth Their While baby. he love'z My style"

Baadhi ya Comments Katika Picha Hiyo hizi Hapa:

amani_john
kunakipindi ulikuaga unavaa vzuri cjui,sijui kwa nn umeacha kuvaa vle..

abeljy
Sweatyyy;!!!!!ee bwana we ni mzuri tuache tu unfiki

love_lucie_crazzy_baby911
Hapo sasa ..!! Me love thiss style ..! Big up kwako @wolperstylish