Ajinyonga baada ya kupata matokeo mabaya katika Mtihani wa kidato cha nne hii ni baada ya matokeo kutolewa.... - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Feb 2015

Ajinyonga baada ya kupata matokeo mabaya katika Mtihani wa kidato cha nne hii ni baada ya matokeo kutolewa....

Imekuwa kawaida kila mwaka pale ambapo matokeo yanapotoka watu wengenge utalajia mambo mazuri ata yulealiye kuwa kilaza dalasani naye anaamini atafaulu tu ila matokeo yake mambo yanakuja kutokana na kile ulicho panda kama ulipanda mawe basin ni mawe unatakiwa kuvunaKinachosikitisha Zaidi ni pale wanapo chukua hatua kama huyuKijana mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa KIjiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, John alitoweka nyumbani.                                        Mungu atusaidie na atusamehe kwa dhambi hiziJe wewe unakabiliwa na changamoto ya kipato kama nilivyo nayo mimi??..basi kama ndiyo njoo nikuonyesha njia ya kukuza kipato hicho pamoja na kutekeleza malengo yako....