UTAFITI wa TWAWEZA...Msoma Utafiti Ametumia Muda Mwingi Kudefend Matokeo Kuonyesha Uhalali wake Badala ya Kuacha Watu Waamue - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Sept 2015

UTAFITI wa TWAWEZA...Msoma Utafiti Ametumia Muda Mwingi Kudefend Matokeo Kuonyesha Uhalali wake Badala ya Kuacha Watu Waamue

Kwa walioangalia Wakati Matokeo ya Utafiti Yanasomwa Main presenter wa huu utafiti Alishindwa kuwa professional kwa kupresent takwimu kulingana na utafiti waliofanya ( kama kweli ni legitimate results) anatumia muda mwingi kudefend matokeo hata kama umati haujauliza swali, kuonyesha uhalali wa matokeo yao, ameonyesha mapenzi ya dhati kwa CCM hasa aliposisitiza Magufuli hana ufisadi, sijui ndo anataka akumbukwe kwenye nafasi za kuteuliwa na magufuli, anaonekana very arrogant, Please be professional, it is a shame to academicians and intellectuals