Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisaaa - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Feb 2015

Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisaaa

 STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama .....
wametumwa na mapepo wabaya.

Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.

Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli.  Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.