Katibu Mtendaji wa baraza la Maaskofu afumwa akifanya ngono katika gari. - MULO ENTERTAINER

Latest

19 May 2015

Katibu Mtendaji wa baraza la Maaskofu afumwa akifanya ngono katika gari.


Katibu mtendaji wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Padri Antony Salawa amefumaniwa akifanya ngono ndani ya Gari yake yenye namba T 674 ADA na dada huyo inadaiwa naye ni mfanyakazi wa baraza la maaskofu.