Diamond na Zari The Lady Boss Wakielekea Kumpumzika Kisiwa cha Mahaba Zanzibar.. - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Feb 2015

Diamond na Zari The Lady Boss Wakielekea Kumpumzika Kisiwa cha Mahaba Zanzibar..


Unaambiwa Mtoto Zari Hakubaki nyuma siku ya Wapendanao , Kampandia ndege Diamond na Kutua Bongo , Hapo kwenye picha Wakienda zao Zanzibar kula Raha
DIAMOND amepost picha hiyo na kuandika #ValentineWeekEndInZanzibar


Una lipi la Kusema?