Ivory Coast mabingwa wa Afrika Kwa kuwacharaza GHANA 9-8 kwa njia ya penalti. - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Feb 2015

Ivory Coast mabingwa wa Afrika Kwa kuwacharaza GHANA 9-8 kwa njia ya penalti.






Jana ilikuwa kilio hii ni baada ya Ivory coast kumfinyanga Ghana 9-8 kwa penalt katika fainali za kombe la AFCON. Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.

Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho