Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Feb 2015

Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video

Kuacha mambo ya usagaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa sana kwenye shule za boarding za wasichana sasa limeibuka hili la Wanafunzi kutesana hasa wale wa kidato cha juu kuwatesa wa kidato cha chini ..Kwenye video hii wanafunza hawa wanampa kichapo cha mbwa mwizi mwanafunzi mwenzao huku akiwa hana uwezo wa kujitetea...Habari tulizozipata inasemekana baada ya video hiyo kuvuja na walimu kuiona wanafunzi kadhaa waliohusika walifukuzwa shuleni  hapa ..hii imetokea huko South Africa...Video ya kusikitisha hii hapa chini: